MPYA: Vijana wengi kwa sasa wanatamani kujifunza kuigiza, kutengeneza filamu na hata kusimamia shughuli za filamu. Jambo hili linaonekana ni rahisi sana hasa kwa sababu, moja kila mtu anaamini anajua kuigiza, pili, filamu inafanywa na watu wengi ambao hawakusoma elimu za juu(Waigizaji) , tatu, kila mtu ananafasi ya kufanya filamu. Lakini Je? Wanafanya filamu kwa usahihi?, Wanafanya filamu za kibiashara?...... Haya ni maswali muhimu sana ya kujiuliza kama unapenda kujifunza kuhusu filamu. Sekta hii ya filamu ina ina mambo mengi sana ambayo kwa namna moja au nyingine inatoa fursa za ajira kwa watu mbalimbali, lakini ningependa kuzungumzia fursa tatu kubwa ambazo kwa sasa ni ajira rasmi ama za kuajiriwa au za kujiajiri…. 1. Kuzalisha filamu (director) 2. Kuchukua picha ( Video shooting) 3. Usimamizi wa filamu (Management ) Bofya hapa kuendelea....... ...
MPYA: Studio ni mahali ambapo huwa panaandaliwa maalumu kwa ajili ya kufanyia kazi mbalimbali kama vile stesheni za Redio, kuandaa muziki, filamu na hata kufanyia mahojiano ya vipindi mbalimbali vya televisheni. Hapa nitazungumzia zaidi kuhusu Studio za kuzalisha Muziki (Music production Studio). Jambo kubwa ambalo ningependa ufahamu ni kwamba utengenezaji wa muziki ni fani kubwa sana Afrika Mashariki na Duniani kwa sasa. zipo kozi mbalimbali zinazofundisha maswala haya ya muziki katika vyuo mbalimbali duniani na mojawapo ya kozi hizo ni Sound Engineering. Bofya hapa Kuendelea......
MPYA: Vijana wengi kwa sasa wanatamani kujifunza muziki, kutengeneza muziki na hata kusimamia shughuli za muziki. Jambo hili linaonekana ni rahisi sana hasa kwa sababu, moja kila mtu anaamini anajua kuimba, pili, muziki unafanywa na watu wengi ambao hawakusoma elimu za juu(waimbaji) , tatu, kila mtu ananafasi ya kufanya muziki. Lakini Je? Wanafanya muziki kwa usahihi? , Wanafanya muziki wa kibiashara?...... Haya ni maswali muhimu sana ya kujiuliza kama unapenda kujifunza muziki. Sekta hii ya muziki ina ina mambo mengi sana ambayo kwa namna moja au nyingine inatoa fursa za ajira kwa watu mbalimbali, lakini ningependa kuzungumzia fursa tatu kubwa ambazo kwa sasa ni ajira rasmi ama za kuajiriwa au za kujiajiri…. 1. Kuzalisha muziki (Producer) 2. Kuimba ( Artist) 3. Usimamizi wa muziki (Management) Bofya hapa kuendelea......
Maoni
Chapisha Maoni
Tafadhali zingatia maadili unapotoa maoni