JE UNAPENDA KUJIFUNZA VIDEO EDITING ?
MPYA:
Vijana wengi kwa sasa wanatamani kujifunza kuigiza, kutengeneza filamu na hata kusimamia shughuli za filamu. Jambo hili linaonekana ni rahisi sana hasa kwa sababu, moja kila mtu anaamini anajua kuigiza, pili, filamu inafanywa na watu wengi ambao hawakusoma elimu za juu(Waigizaji) , tatu, kila mtu ananafasi ya kufanya filamu. Lakini Je? Wanafanya filamu kwa usahihi?, Wanafanya filamu za kibiashara?...... Haya ni maswali muhimu sana ya kujiuliza kama unapenda kujifunza kuhusu filamu.
Sekta hii ya filamu ina ina mambo mengi sana ambayo kwa namna moja au nyingine inatoa fursa za ajira kwa watu mbalimbali, lakini ningependa kuzungumzia fursa tatu kubwa ambazo kwa sasa ni ajira rasmi ama za kuajiriwa au za kujiajiri….
1. Kuzalisha filamu (director)
2. Kuchukua picha ( Video shooting)
3. Usimamizi wa filamu (Management)

Maoni
Chapisha Maoni
Tafadhali zingatia maadili unapotoa maoni