JE KOMPYUTA YAKO INA HITILAFU / IMEHARIBIKA ?
MPYA:
Katika ulimwengu wa sasa wa Teknolojia, matumizi ya kompyuta yamekuwa muhimu sana katika shughuli zetu mbalimbali za kila siku, iwe nyumbani, ofisini au katika maeneo mbalimbali ya mapumunziko hasa nyakati za likizo.
Maranyingi watu wengi wanaonunua vifaa hivi vya teknolojia huwa na malengo mazuri sana, hususani ya kibiashara. Lakini kumekuwa na shida kubwa sana kwa watu wanaomiliki kompyuta na vifaa ambata kutokuwa na mpango mkakati wa kuvifanyia matengenezo ya mara kwa mara hali inayopelekea kupata hasara ya kufa kwa vifaa hivi na kupelekea hasara katika biashara zao pia.

Maoni
Chapisha Maoni
Tafadhali zingatia maadili unapotoa maoni