JE UNAPENDA KUJIFUNZA KUPIGA / KUEDITI PICHA ?
MPYA: Upigaji wa picha za mgando ni moja kati ya fani muhimu sana nyakati za sasa, wakati ambapo Biashara nyingi kwa kiasi kikubwa zinfanywa hasa kwa kutumia mitandao. Awali upigaji wa picha za mgando ulikuwa kwa ajili ya kutunza kumbukumbu kwa shughuli na matukio ya kijamii, kisiasa,kiutamaduni na kiutafiti hasa wa kisayansi. Lakini kwa wakati huu picha za mgando zimekuwa ni bidhaa yenye thamani kubwa sana kutokana na mapinduzi ya biashara mtandao, ambapo kwa kiasi kikubwa picha za mgando zinatumika katika kutangaza na kutambulisha bidhaa mbalimbali katika soko kubwa la biashara mtandao ikiwemo Utalii. Bofya hapa kuendelea.....